Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Japo mimi siyo mpenzi wa Simba SC Lakini nimemuelewa sana Gonzalez Alichoongea ndio Ukweli Wenyewe huku Siasani
1 Reactions
5 Replies
106 Views
Habari zenu wanajamvi? Watu wengi hasa wafuatiliaji wa mambo yanayoendelea nchini kwenye uga wa siasa wameshtushwa kwa ukubwa sana juu ya uwezo wa Lissu kufanya mikutano bila nguvu ya ufadhili wa...
5 Reactions
36 Replies
108 Views
Waungwana hamjambo? Nimetoka kazini saivi, mke wangu akaniita jikoni niende kuangalia alichopika. Nikajivuta nikaenda mara nasikia notification ya Whatsapp ndindindiii Kufungua boss katuma...
4 Reactions
34 Replies
751 Views
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika. Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao. Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi kwakweli ile album ya wenge musica bcbg yenye nyimbo kama masuwa, bana lunda, ndombolo n.k ilinikuta katika mapito magumu. Leo hii nikisikia nyimbo yoyote ya kwenye ile album nakumbuka...
3 Reactions
49 Replies
253 Views
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja. Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga...
5 Reactions
57 Replies
438 Views
Habari za wakati huu ndugu zanguni. Nimekaa mahali maeneo ya magomeni karibu na bara bara kuu nikasikia hilo tangazo, wakitangaza kupitia gari ndogo maarufu kama "KIRIKUU" Kwa mujibu wa...
8 Reactions
85 Replies
1K Views
NIELEWE KWA MAKINI SANA. Mungu wa Israel Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
23 Reactions
219 Replies
5K Views
Mateka 4 waliotekwa na Hamas mwaka jana wameokolewa Leo na Jeshi la Israel Source BBC
3 Reactions
29 Replies
549 Views
Mtu na mkewe wameamua kujiexpose kwenye social network.Ulimbukeni bado unatesa watu
4 Reactions
38 Replies
437 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,361
Posts
49,827,679
Back
Top Bottom