Mzee Jenerali Ulimwengu anasema tukiamini Rais ndiye anateua Wakuu wa Mikoa wote, Wakuu wa wilaya wote, Wakurugenzi wote tutakuwa tunajidanganya tu kwa Sababu hakunaga Rais mwenye Uwezo huo.
Rais...
Mwanza. Ni jambo ambalo halikutarajiwa na wengi na isivyo bahati, uwe mgeni ama mwenyeji hapa mjini Mwanza ukipita pembezoni mwa mazingira ya shule za msingi Kitangiri A na C zilizopo pembezoni...
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Huko Singida Mjini kumepangwa kufanyika Mkutano wa Hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu 8/6/2024, kwenye viwanja vya Stendi ya Zamani...
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni simu gani nzuri kununua kwa bei ndogo, kwa hiyo thread hii itakuonesha simu 5 za kununua kama budget yako ni chini ya laki 4 na simu 5 za kununua kama budget...
Leo Israel imeshambulia kusini mwa Lebanon kwa ndege vita zake kama kitendo cha kulipiza tukio la Hezbollah kushambulia kaskazini mwa Israel kwa drone kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine 10 leo...
1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine.
2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.