Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuwaombea wanaofanya ubadhirifu na wezi ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke...
1 Reactions
9 Replies
16 Views
Miaka ya 2000 kulikuwa na wanamuziki wanne wenye majina makubwa ambao hao waliamua kuwaita kwa jina la Big Four yani Jay Z, Nelly, DMX na Eminem. Huyu jamaa unayemuona kwenye picha aliibuka tu na...
0 Reactions
4 Replies
40 Views
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana...
13 Reactions
76 Replies
1K Views
1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine. 2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani...
21 Reactions
75 Replies
758 Views
Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na...
4 Reactions
70 Replies
1K Views
Leo Israel imeshambulia kusini mwa Lebanon kwa ndege vita zake kama kitendo cha kulipiza tukio la Hezbollah kushambulia kaskazini mwa Israel kwa drone kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine 10 leo...
6 Reactions
31 Replies
842 Views
Habari zenu, Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume. Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji...
4 Reactions
25 Replies
182 Views
Salaam shalom!! Tulipopata Uhuru wa Nchi yetu, hatukuwa na wawekezaji wengi wa kuwekeza kwenye migodi, Serikali ilihodhi vitega Uchumi vyote na kusimamia, Hawa wawekezaji wa sasa, nionavyo Si...
4 Reactions
20 Replies
198 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,287
Posts
49,825,126
Back
Top Bottom