Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha...
6 Reactions
30 Replies
289 Views
Mji wa Same ni mdogo sana ila inashangaza ndani ya wiki tatu zilizopita zimeibiwa TV nyingi sana, je, zinakwenda wapi? Au zinauzwa wapi? Maeneo ya Sterling na Stesheni kwa mfano zimeibiwa TV nne...
6 Reactions
41 Replies
504 Views
Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo...
11 Reactions
58 Replies
782 Views
Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
18 Reactions
152 Replies
6K Views
Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha...
16 Reactions
54 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu zanguni. Nimekaa mahali maeneo ya magomeni karibu na bara bara kuu nikasikia hilo tangazo, wakitangaza kupitia gari ndogo maarufu kama "KIRIKUU" Kwa mujibu wa...
5 Reactions
58 Replies
673 Views
=== David Kafulila, Mkurugenzi PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya, Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia...
11 Reactions
68 Replies
596 Views
Kama kichwa cha uzi kinavosema. Usasa na utandawazi umewafanya watu kua open sana. Usikute huyo mchumba wako akiwa serious kuolewa na wewe anawaaga ma boyfriends wake kiroho safi na kuwaelezea...
2 Reactions
6 Replies
104 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,329
Posts
49,826,652
Back
Top Bottom