Wakuu kwema?
Serikali sasa huku mnapotupeleka kubaya, na ni uonevu wa wazi wazi kabisa. Yaani mtu anapaza sauti walimu wanadai stahiki zao badala mshughulikie malalamiko hayo mnaedna kumkamata...
... ๐ฃ๏ธ ๐๐๐๐ฅ๐ - ๐ช๐๐ง๐จ ๐ช๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ช๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ ๐๐จ๐ง๐๐ก๐๐๐ก๐๐ญ๐ ๐ฃ๐ฅ๐ข๐ฃ๐๐๐๐ก๐๐.
"Propaganda zilizofadhiliwa zimefikia hatua ya kuchukiza sana kama vita za kisiasa. Kwani hatuwezi kuona kikamilifu nyuma ya hii...
1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine.
2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani...
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
Wanaukumbi.
๐ฎ๐ฑ๐ฑ๐ง Hapo jana Israel walisema wanaelekea kwenye uamuzi wa kuivamia Lebanon, leo Hezbollah wamerusha roketi kwenye kituo chao na kuua na kujeruhi makumi ya wanajeshi.
Wakati huo...
Ugumu wa maisha unaoambatana na ukosekanaji wa ajira kwa mabinti, kukosa mawazo sanifu ya kibiashara pamoja na mitaji, na ugumu wa maisha unaoambatana na kupanda kwa bei za kimaisha ni miongoni...
Habari za wakati huu ndugu zanguni.......
Nimekaa mahali maeneo ya magomeni karibu na bara bara kuu nikasikia hilo tangazo........wakitangaza kupitia gari ndogo....maarufu kama "KIRIKUU"
Kwa...
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.
Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
Kuna fununu sana Arusha kwamba mtoto pendwa ndio anaichukua Hoteli ya Mount meru , na ikumbukwe pia kuna fununu za kuinunua Impala Hoteli ilio kuwa ya Bilionare Mrema. Sasa ni Mount Meru Hoteli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.