Hakuna cha kuzuiwa ila ni mabadiliko ya aina ya mifuko. Nenda sokoni kanunuwe mboga, mihogo utapewa mfuko wa plastiki, chumvi zipo kwenye mifuko ya plastiki mi nadhani yalikuwa maamuzi ya...
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa...
Hapa Iringa kwa mfano huwezi kusikia kiongozi wa upinzani kazuiwa kufanya mkutano kwa Sababu Sisi ni wajanja na tumekomaa Kisiasa
Kumbe ndio Sababu hata MO wa Makolo aliamua kuhamia Mjini DSM...
===
David Kafulila, Mkurugenzi PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya,
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia...
Natumaini Mko Salama Wapendwa wa JF,
Huu ni Mtazamo wangu Binafsi Lakini kwa Namna Moja Ni Uhalisia Kwa Baadhi ya watu. Sisemi Kuwa Maisha Yangu Yameharibika Lakini Yamebadilika Mabadiliko...
Habari wakuu!! Wote tunaamini ipo siku tatasimama mbele za Mungu kutoa hesabu ya yale tuliyoyafanya, mambo ambayo yatatupa uhalali wa kuingia mbinguni au kukataliwa na kutupwa kwenye ziwa la moto...
DONDOO
Mchango wa kila mwanachama kwa mwaka ni sh 45,000 au kwa siku ni sh 150.
Ni mfumo rahisi kupitia (portal) za vikundi ambao hata ombaomba, wanafunzi watashiriki kuchangia wenyewe sh 150...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.