Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii mtakubaliani nami kuwa Mheshimiwa David Kafulila pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaubeba Upinzani hasa...
Watu mliosoma Sociology Tafiti zinaonesha nyie ni watu wa kurizika sana ndo maana PhD ni chache mno za Sociology with philosophy.
Nchi inahitaji kuongozwa na wanasosholojia matokeo yake mnaacha...
Baada ya mvutano wa Chadema na DED kuhusu Uwanja wa kufanyia mkutano hatimaye Chadema waliendelea na maandalizi kama walivyoagizwa na kamanda wao Tundu Lisu
Wananchi wameanza Kuelekea Viwanja vya...
Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na...
Wanaukumbi.
🇮🇱🇱🇧 Hapo jana Israel walisema wanaelekea kwenye uamuzi wa kuivamia Lebanon, leo Hezbollah wamerusha roketi kwenye kituo chao na kuua na kujeruhi makumi ya wanajeshi.
Wakati huo...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuwaombea wanaofanya ubadhirifu na wezi ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke...
Miaka ya 2000 kulikuwa na wanamuziki wanne wenye majina makubwa ambao hao waliamua kuwaita kwa jina la Big Four yani Jay Z, Nelly, DMX na Eminem. Huyu jamaa unayemuona kwenye picha aliibuka tu na...
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana...
1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine.
2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.