Habari zenu wanajamvi?
Watu wengi hasa wafuatiliaji wa mambo yanayoendelea nchini kwenye uga wa siasa wameshtushwa kwa ukubwa sana juu ya uwezo wa Lissu kufanya mikutano bila nguvu ya ufadhili wa...
Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha TV 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki...
Yah! I mean it. Pandisheni kama ilivyokuwa kwa mafuta ya taa. Tena napenda kuchukua nafasi huu kumpongeza waziri Nape kwa namna moja au nyingine kukwamisha hiyo huduma ya starlink. Hii itachochea...
Mimi kwakweli ile album ya wenge musica bcbg yenye nyimbo kama masuwa, bana lunda, ndombolo n.k ilinikuta katika mapito magumu.
Leo hii nikisikia nyimbo yoyote ya kwenye ile album nakumbuka...
Na Bwanku M Bwanku
Kagera ni moja ya mkoa wa kilimo na mazao mbalimbali yanalimwa. Kwasasa ni msimu wa zao la kahawa ambalo ni moja ya zao linalolimwa.
Toka Tanzania ianze, bei ya zao la kahawa...
Heshima kwenu wadau.
Naomba kujuzwa dawa ya maumivu ya mfupa wa kwenye goti, tatizo lilitokana na ajali ya boda goti likavunjika hata kutembea ikawa shida kwa muda wa miezi 6+ ni kitandani tu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo tarehe 08/06/2024 kinafanya Mkutano wake wa hadhara Singida Mjini, ambako Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atahutubia wananchi.
Kama ilivyo...
Nimeamua kwa dhati kabisa kumshonea mke wangu sketi za shule kama aina tano ili niepukane kabisa na vishawishi vya kutamani wanafunzi
Nadhani wote tunafahamu jinsi watoto wakike wanavyopendeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.