Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili. Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara...
3 Reactions
107 Replies
2K Views
Kama aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Wizara nchini anaweza kutapeliwa akiona, wanyonge halisi hufanyweje? Mama Zahara aliwahi kuwa katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, lakini bado alitapeliwa kiwanja...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
President Samia Suluhu Hassan has reshuffled her inner circle by transferring four members of the presidential office to other government positions. The changes, announced by the office of the...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Marekani / ulaya kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafnya kazi za kipato cha chini zisizohitaji elimu ya chuo kwenye godown analipwa elf 40 kwa saa...
2 Reactions
16 Replies
225 Views
Habari WanaJamiiForums Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi. Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini...
12 Reactions
111 Replies
2K Views
Leo nimeona nishare hii story yangu. Ilikuwa hivi, nilivyomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
106 Reactions
139 Replies
4K Views
Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema Ukweli ni lazima usemwe Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya. Kitenge amesema kwa mfano madai ya uzushi ya kuuza Bandari ilimlazimu...
4 Reactions
35 Replies
834 Views
Maneno ya binadamu yanaweza kuchelewesha ukweli usionekane mapema ila hayawezi kubadilisha uhalisia wa jambo Kukatishwa tamaa ni fursa ya kuchimba zaidi ndani yako na kugundua nguvu yako ya...
1 Reactions
1 Replies
15 Views
Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka muda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi. Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu --- Jeshi la...
5 Reactions
36 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,045
Posts
49,817,898
Back
Top Bottom