Jana kwenye uzinduzi wa 7 Media ya baba levo niliona kumbe Mwijaku hana shida na Diamond wako poa kabisaa.
Pointi yangu natamani sana Diamond amwambie mwijaku hata kama anamkubalia amtukane ili...
Elon Musk
Kwa viwango hivyo vipya, thamani ya Elon Musk imepanda hadi dola bilioni 210.7, huku Bernard Arnault akishikilia nafasi ya pili akiwa na dola bilioni 201, na Jeff Bezos yuko katika...
Al Jazeera wametangaza hii habari haraka haraka sana hakuna coverage hata ya kuhoji watu ambao wanasema Ile ni massacre.
African news nao Wala hawatangazi kuhusu Sudani.
Taarifa yote iko Gaza...
Naona mlingano wa kieneo unaenda kutimia!!
Iran keshawapelekea jamaa mfumo wa kutungulia ndege hatari wa Sayad-2 soon tutaanza kushuhudia ndege za F-16 za Israel zikiangushwa kama mapera...
Kwamba Dola inapatika kwenye soko lisilo rasmi "black market" ila Kwa bei ghali zaidi ya bei halisi ya soko hivyo kulazimisha Waagizaji wa bidhaa hasa Mafuta kuanza kutumia euros.
---
Importers...
Ukifuatilia kwa siku kadhaa tangu Rais aende Korea Kusini, Idara ya Mawasiliano ya Rais haikuwa ikifanya kazi yake ipasavyo hasa kwa taarifa muhimu za kuja Tanzania. Hata mkanganyiko uliotokea VOA...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Nahitaji track suit pair 200
Umri 3-5 pair 140
Umri 6-8 pair 60
Na form six tshirt ( rangi yellow/dark blue) kwa rika na idadi hiyo hiyo hapo juu
Kwa biashara call me 0687391885
Abbas Kinzasa ndilo jina halisi la Sindano Ndogo Inayoshona Makoti, lakini kutokana na kutotaka kujivimbisha kichwa akajiita asilimia ndogo ama asilimia ishirini kwa lugha ya Kimasai, mwite 20%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.