===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu"
Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X
Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za...
Inakuwaje wanaJamiiForums
Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k.
Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au...
Masaa 2 yaliyopita mfungaji bora wa ligi kuu msimu wa 2023/2024 na mchezaji bora namba 2 Stephan Aziz Ki ametumia ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwaaga mashabiki, wanachama, viongozi, wachezaji...
Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi?
Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu...
Wakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takriban mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana Kwa mambo fulani fulani ambayo sioni...
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz Watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.