Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjwahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi. Iko hivi huyu kijana nimekutana nae nina kama mwezi na...
4 Reactions
5 Replies
23 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeona nisema haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije anza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
9 Reactions
94 Replies
1K Views
Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars. Singida safari hii wanawekeza sana.
0 Reactions
8 Replies
155 Views
Nyumba Inauzwa. Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda. Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom. Eneo: Sqm 135.73 Nyaraka: Ina leseni ya makazi. Bei: Milioni 75 Karibu...
3 Reactions
25 Replies
269 Views
Wiki hii nimekua nafatilia sana pages za madalali wa magari, Kuna gari ya ofisi nataka kununua kutokana na bajeti nimeamua nianze na used kwanza, sasa hao madalali yaani ni vichekesho tu "Gari...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
KWEMA.. kwakuwa tumeona process ya kunywa pombe kupeleka tumboni mpaka kufika kichwani inachukua mda mrefu kulewa,sasa tumegundua process nyingine ya kulewa bila kunywa pombe,kwa sisi wakina john...
4 Reactions
29 Replies
485 Views
Wakati mwingine mtu unatamani kusema sisi watanzania ni majuha lakini unaheshimu uumbaji wa Mungu wetu. Jinsi mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya watu tuliowapa madaraka yanavyotia kinyaa...
6 Reactions
20 Replies
272 Views
Katika hali inayoelekea kuwachanganya wamarekani Urusi imetuma manowari zake zaidi ya 8 katika pwani ya marekani nchini Cuba sababu ikitajwq ni maandalizi ya mazoezi ya pamoja. Hii ni mara ya...
6 Reactions
73 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,078
Posts
49,818,577
Back
Top Bottom