Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa kifupi nakareka sana na huduma za huu mtandao. Mtandao haumalizagi mwezi lazima hitilafu itokee tukose baadhi ya huduma. Mfano nipo hapa tangu saa moja jioni, TIGO PESA haifanyi kazi...
2 Reactions
33 Replies
319 Views
Imefikia kipindi nikiona tu sio wewe unayesoma taarifa ya habari basi naondoka au nabadilisha channel. Na nilivyo mgonjwa wa big asses, sehemu muhimu zaidi kwangu ni pale unapogeuka na kutembea...
14 Reactions
75 Replies
687 Views
Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana weengi humu...
7 Reactions
60 Replies
471 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Huko Singida Mjini kumepangwa kufanyika Mkutano wa Hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu 8/6/2024, kwenye viwanja vya Stendi ya Zamani...
1 Reactions
19 Replies
287 Views
Soma tena kichwa cha habari ukielewa, nitext PM.
4 Reactions
13 Replies
183 Views
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye: a) Uchumi b)...
26 Reactions
134 Replies
3K Views
Uwe na miaka 30 kwenda juu usivuke 40 uwe tayari kuishi kiuhalisia
2 Reactions
218 Replies
911 Views
Leo kuanzia saa 4 kuna mechi nyingi sana za WC Qualifiers zinachezwa, kwa ngazi ya makundi. Sisi tulitakiwa tucheze na Elitrea Jumatatu tar 3 ila ilihairishwa. Hadi sasa mechi zilizopo: Guinea...
4 Reactions
37 Replies
509 Views
Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
18 Reactions
144 Replies
5K Views
Majina haya ni mabaya n yanatweza utu wa mwanamke lkn yamepakwa nakshi kuyafanya yaonekane mazuri. Kamwe wanawake msiyakubali na msikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya. Ifuatayo ni...
15 Reactions
34 Replies
888 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,155
Posts
49,821,540
Back
Top Bottom