Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Azam Complex, timu ya Tanzania Prisons itajipanga mistari miwili kutoa heshima kwa mabingwa wa nchi timu ya Yanga. Baada ya hapo kutapigwa kabumbu...
0 Reactions
1 Replies
27 Views
KUACHILIA/KUSAMEHE. Ni pale unapokuwa huru ndani mwako, Jambo hili linatupoteza wengi sana ,na mwishowe tunarudi kuwalaumu wachawi Kwamba ndio wanaotukwamisha mambo yetu kumbe hiyo ni sumu...
1 Reactions
1 Replies
24 Views
Kocha Pep Guardiola anatarajiwa kuondoka ndani ya Klabu ya Manchester City, mwishoni mwa msimu ujao wa 2024/25 mkataba wake utakapomalizika. Guardiola (52) aliyejiunga na Man City Mwak 2016...
1 Reactions
52 Replies
1K Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
15 Reactions
200 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu,ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na...
4 Reactions
44 Replies
199 Views
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa...
1 Reactions
22 Replies
52 Views
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?. ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani. lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti...
9 Reactions
157 Replies
2K Views
Shalom, Tucheke kwanza "Oalaa kalooo' Dunia na matukio sasa hivi jamii ya watanzania inashuhudia ongezeko la ma pastor ama wachungaji wanawake ni vibe moja kali sana kwenye social media na...
3 Reactions
18 Replies
229 Views
Shalom, Oalaakalooo 🤣🤣🤣🤣🤣 Walimwengu walisema tembea uone, kuoa uyaone na mtembea bure si mkaa bure, mgagaa na upwa hali wali mkavu, mguu wako ndio riziki yako. Kama kawaida Mungu anabariki sana...
2 Reactions
17 Replies
281 Views
Rafiki yangu mpendwa, Maisha huwa ni maigizo na yale ambayo kila mmoja wetu anaigiza, yana madhara chanya au hasi kwenye maisha yake. Inapokuja kwenye fedha, masikini huwa wanaigiza kama ni...
1 Reactions
2 Replies
49 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,827
Posts
49,729,883
Back
Top Bottom