Habarin wa jf natumaini mko powah kabisa
Huyu fundi simu amenishangaza sana mpaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wahanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa yangu...
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
Jamaa alifikia wakati wa kujiona ni zaidi ya kiumbe wa kawaida, alikuwa anabwabwaja tu huku akiwa anawezeshwa kwa njia zisizo halali.
Vi-memo vya kipuuzi vilitumwa kwenye Wizara na Taasisi kadhaa...
Inakuwaje wanaJamiiForums
Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k.
Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au...
KUNA kitu kinaendelea ndani ya Simba . Huenda kufikia leo yakatokea mabadiliko makubwa kwenye uongozi wa juu.
kama mambo yataenda sawa Leo au kesho Barbara Gonzalez atatangazwa kuwa Mwenyekiti na
Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu"
Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X
Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za...
Ni kama Rais anategewa kwa maksudi na wasaidizi wake ili abebe lawama na aibu yeye
Na bahati mbaya nadhani walishamjua udhaifu wake kuwa huwa hapitii na kusoma kile kimeletwa mezani
Wasidizi...
Kama sio mhanga wa hii kadhia basi moja wa ndugu au rafiki yako atakuwa amekutana nayo .Kumekuwa na utapeli unaoshika kasi hasa mtandao wa facebook .
Matapeli wanaweza kuingia kwenye account yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.