Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
Nimesikia kuna Mwamba kalamba Uteuzi akiwa Kaburini. Nisiku nyingi wadau tumepiga kelele juu ya huu MFUMO wetu wa KUJITAWALA kwamba umepitwa na wakati na NIWAKIKOLONI, chakushangaza ccm wanatuona...
Majenerali na makada wa RPF Jack Nzinza na James Kabarebe wameonesha nia yao waziwazi ya kutaka kumpokea kijiti komredi mwenzao Paul Kagame uchaguzi ujao, 2024.
Wanadai mpaka hapo Kagame...
Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Yani tuko hapa kibarazani kijiweni cha umbea na masela tumenyong'onyea, kukasirika na kufadhaishwa kwa habari mbaya ya Elon Musk kurudi tena kuwa tajiri namba moja...
Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
Lugalo, wilayani Kilolo ndio eneo Jeshi la Ujerumani lilipotwangwa na Mtawala wa Wahehe Chifu Mkwawa
Sasa kuteuliwa marehemu kuwa mkurugenzi kule kule Lugalo kwa Wanaume ni lazima tuangalie...
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.