Msanii Diamond platnumz amemzawadia Haji Manara kitita cha Million 15 kwenye usiku wa Engagement party yake iliyofanyika siku ya jana.
ANGALIA VIDEO HAPA
Written by Mjanja M1
Video from WasafiTv
Habari WanaJamiiForums
Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi.
Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini...
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala...
Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema Ukweli ni lazima usemwe Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya
Kitenge amesema kwa mfano madai ya uzushi ya kuuza Bandari ilimlazimu...
Nimesoma mara mbili mbili sijaelewa hii takwimu wamemaanisha nini, kilichonishangaza zaidi ni kutumika kwa neno pekee kwa maana hakuna nyingine mwenye takwimu ya namna hiyo.
Habarin wa JF natumaini mko powah kabisa
Huyu fundi simu amenishangaza sana mpaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wahanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa yangu...
Marekani / ulaya kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafnya kazi za kipato cha chini zisizohitaji elimu ya chuo kwenye godown analipwa elf 40 kwa saa...
Ni kama Rais anategewa kwa maksudi na wasaidizi wake ili abebe lawama na aibu yeye
Na bahati mbaya nadhani walishamjua udhaifu wake kuwa huwa hapitii na kusoma kile kimeletwa mezani
Wasidizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.