Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe...
9 Reactions
51 Replies
1K Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Yani tuko hapa kibarazani kijiweni cha umbea na masela tumenyong'onyea, kukasirika na kufadhaishwa kwa habari mbaya ya Elon Musk kurudi tena kuwa tajiri namba moja...
3 Reactions
6 Replies
23 Views
Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha...
7 Reactions
19 Replies
156 Views
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi. Waziri Makamba...
6 Reactions
91 Replies
3K Views
Leo nimeona nishare hii story yangu. Ilikuwa hivi, nilivyomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
91 Reactions
120 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeona nisema haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije anza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
5 Reactions
32 Replies
249 Views
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya? Ikulu imekuwa kichekesho...
36 Reactions
283 Replies
14K Views
Lugalo, wilayani Kilolo ndio eneo Jeshi la Ujerumani lilipotwangwa na Mtawala wa Wahehe Chifu Mkwawa Sasa kuteuliwa marehemu kuwa mkurugenzi kule kule Lugalo kwa Wanaume ni lazima tuangalie...
1 Reactions
2 Replies
66 Views
BUSINESS MANAGEMENT SYSTEM. 1 NMB Bank PLC is the largest commercial bank in Tanzania with vast branch network in all parts of the country, providing banking services to individuals, small and...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nahitaji track suit pair 200 Umri 3-5 pair 140 Umri 6-8 pair 60 Kwa biashara call me 0687391885
3 Reactions
2 Replies
64 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,984
Posts
49,816,331
Back
Top Bottom