Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya? Ikulu imekuwa kichekesho...
26 Reactions
190 Replies
9K Views
Ati mtu kafariki tarehe 4 June halafu tarehe 6 June anapata uteuzi. Nikamwambia hebu niongezee gahwa mixer na tangawizi. Hivi Tanzania 🇹🇿 watu wa IT fanyeni msaada kuwa na chombo chenye taarifa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa...
5 Reactions
46 Replies
1K Views
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa. Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe...
46 Reactions
120 Replies
3K Views
Leo nimeona nishare hii story yangu. Ilikuwa hivi, nilivomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
54 Reactions
53 Replies
1K Views
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi. Waziri Makamba...
6 Reactions
83 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali...
20 Reactions
66 Replies
2K Views
PDF mmelishuhudia bibie Zuhra OUT. Sasa ni zamu ya Kikeke
1 Reactions
5 Replies
80 Views
Habari zenu wanawake wenzangu wa MMU. Karibuni tujadili changamoto zinazotupata kipindi ambacho wapenzi wetu wawapo mbali, kikazi au kwa shughuli yoyote ile inayowafanya msionane kwa mda mrefu...
19 Reactions
210 Replies
35K Views
Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi? Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu...
9 Reactions
69 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,885
Posts
49,813,851
Back
Top Bottom