Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye: a) Uchumi b)...
13 Reactions
27 Replies
515 Views
Mwenye kujua ubora wa taa za solar kwa ajili ya security light nje nahitaji kujua brand zilizo bora, je, Watts ni kigezo cha bei? Ni kweli unaweza kuwa na solar ya 2000Wats ikiwa combined na...
1 Reactions
1 Replies
45 Views
Basi tu fashion ya baadhi ya viatu inakufanya usivae soksi ila ukweli usemwe viatu bila soksi Sawa na suruali bila chupi.. Ukivivua lazima tu viteme na pia sio salama unaweza Kupata fangasi...
1 Reactions
7 Replies
9 Views
Baada ya kusuasua kwa muda mrefu sasa barabara hiyo inaenda kwa kasi kubwa chini ya Mkandarasi mpya Kings Builders. Wananchi wanaridhika kwa kasi ya ujenzi unaoendelea kwa sasa. Pongezi wa waziri...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakati unalala ukiwa umewasha feni ama ac hii ndio hali halisi ya Makete
0 Reactions
4 Replies
72 Views
Mke anabwabwaja tu toka asubuhi mpaka jioni. Imebidi niwe mlevi bila kupenda
7 Reactions
39 Replies
674 Views
Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto...
7 Reactions
57 Replies
2K Views
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya? Ikulu imekuwa kichekesho...
29 Reactions
244 Replies
11K Views
Wakuu salama? Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
5 Reactions
58 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,916
Posts
49,814,760
Back
Top Bottom