Tukiwambia Israel hana alicho fanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu...
Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi?
Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu...
Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu.
Amesema aliyeshika chupa ya damu...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
Katika hali inayoelekea kuwachanganya wamarekani Urusi imetuma manowari zake zaidi ya 8 katika pwani ya marekani nchini Cuba sababu ikitajwq ni maandalizi ya mazoezi ya pamoja.
Hii ni mara ya...
Leo nimeona nishare hii story yangu.
Ilikuwa hivi, nilivomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
Nilikuwa namsikiliza kiongozi wa zamani wa Chadema akiwa Sibuka.
Ambapo baada ya mahojiano mtangazaji alimtania kwa kumuuliza ni nani alishika chupa ya damu?
Mashinji akajibu " siwezi kukumbuka ni...
👉HUKUZALIWA 👉KUJA
👉KUOKOLEWA 👉NA MTU
Hakuna mtu yeyote anaye zaliwa(ku-exsist on this Earth) hapa Duniani ili aje kuokolewa ama kusaidiwa na mtu yeyote, Upo hapa Duniani ama tuite upo Katika huu...
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza...
Rais wa mabunge ya Dunia hateuliwi bali anagombea kwenye Uchaguzi Kabisa
Hivyo Nchi Yako ikitoa Rais wa mabunge ya Dunia ujue itafuatiliwa kwa kila jambo na wale wanaotamani kugombea uRais kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.