Katika hali inayoelekea kuwachanganya wamarekani Urusi imetuma manowari zake zaidi ya 8 katika pwani ya marekani nchini Cuba sababu ikitajwq ni maandalizi ya mazoezi ya pamoja.
Hii ni mara ya...
Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru.
Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli
PIA SOMA
- Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena...
Nilikuwa namsikiliza kiongozi wa zamani wa Chadema akiwa Sibuka.
Ambapo baada ya mahojiano mtangazaji alimtania kwa kumuuliza ni nani alishika chupa ya damu?
Mashinji akajibu " siwezi kukumbuka ni...
Kama kichwa cha habari haya ndo makabila yanayoongoza katika kushirikiana katika shida na raha popote walipo wakikutana wanajiona wote ni ndugu na hupenda kusaidiana ktk shida na raha
1.wazalamo...
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza...
Inakuwaje wanaJamiiForums
Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k
Je mtot wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au kwa...
Moto unawaka SSC! Ni vita kubwa!
Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene Try...
Msing'oe bendera ya chama chochote , bendera haipigi kura, ushinde ubaya kwa wema - Dkt. Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto biteko akizungumza leo juni 6, 2024 katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.