Kanuni inasemema "Taarifa ya mabadiliko ya uwanja inatakiwa kutolewa siku 7 kabla ya mchezo"
lakini imekua tofauti kabisa kwenye mchezo wa Simba sc vs KMC kwani jumamosi iliyopita timu ya KMC...
Huu mradi una maswali mengi ambayo binafsi ninakosa majibu. Tunajua na kutambua kwamba kuna gharama za uendeshaji wa mradi, ikiwemo kulipa mishahara wafanyakazi,mafuta, matengenezo n.k Lakini...
Pamoja na kukalia kiti cha uraisi kwa kipindi kifupi, marehemu Ebrahim Raisi wa Iran aliyekufa kwa ajali ya helkopta atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashujaa wa nchi hiyo.
Katika kipindi chake...
Mumbai (Maharashtra) [India], Mei 22 (ANI):
Wakati uchaguzi wa Lok Sabha unafanyika nchini India katika awamu ya saba, Balozi wa Marekani nchini India, Eric Garcetti amesema kuwa Dunia...
Habari ndugu wana jamii forum, nina gari aina ya nissan duals ya mwaka 2011 nikipita kwenya mashimo nackia kama ingonga gonga kwa mbalii naomben anayeweza kujua tatzo itakuwa ni nini kabla cjaenda...
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
Dar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki.
Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.