Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakati unalala ukiwa umewasha feni ama ac hii ndio hali halisi ya Makete
3 Reactions
16 Replies
374 Views
Serikali ya Cuba imethibitisha uwepo wa nyambizi tatu za nyuklia Nchi humo hii inafuatia kauli ya Rais dhaifu wa Marekani Joe Biden kutaka Ukraine ishambulie Russia kwa silaha za Marekani...
6 Reactions
37 Replies
730 Views
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya? Ikulu imekuwa kichekesho...
30 Reactions
260 Replies
13K Views
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi...
16 Reactions
124 Replies
2K Views
Wasalaam mabibi na mabwana, Enyi wanaume, leo naomba niwausie kuhusu michepuko! Shetani ameingia kwenye nyumba nyingi sasa mnaona kama fasheni kuwa na michepuko. Amini kwamba hakuna mchepuko...
6 Reactions
208 Replies
11K Views
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa...
7 Reactions
61 Replies
2K Views
Kuna Rais Barani Afrika anataka Kuniteua, hivyo ninataka kujua kati ya hivi Vyeo viwili kipi Kitanifaa na kipi Kitanishusha?
2 Reactions
3 Replies
4 Views
Hapa duniani kuna Serikali zina Dini kama vile Iran, Afghanistan, Uingereza nk na pia kuna Serikali Hazina Dini ila Watu wake ndio Wana Dini tofauti tofauti mfano Kenya, Zimbabwe na Israel Fanya...
2 Reactions
8 Replies
9 Views
Halafu ogopa sana Mwanasiasa akijifanya Anakupenda kwani huenda akawa anataka kukuleta Karibu yake ili akusome, akujue, ajiridhishe kwa anayoyasikia na akutumie kwa Maslahi yake kisha akishajua...
3 Reactions
5 Replies
29 Views
Wasalaam, JF. Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla...
9 Reactions
92 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,939
Posts
49,815,327
Back
Top Bottom