Wale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama...
Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe.
Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema...
Ikulu imekuwa kichekesho. Huyu Bwana Milton Lupa amefariki kwa ajali eneo la Dumila juzi. Alikuwa njiani kuja Dodoma kwenye kituo chake cha kazi VETA. Cha kushangaza jioni hii Dr. Kusilika KM...
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkek kutoka na makosa haya?
Achila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
Natafuta partner (Mwanamke).
Vigezo:
Mwembamba na White.
Mkristo au Muislamu.
Elimu yoyote.
Awe anafanya kazi.
Umri 23-27
Kabila lolote.
Asiwe na mtoto.
Upande wangu:
Elimu/ degree
Kazi/...
Kuna wakati nawaza hivi wanaume wana ugonjwa upi kwenye makalio ya mwanamke? maana ukitaka kujua ugojwa wa mwanaume ni uwe na kalio la maana upite mbele yao hii mpaka utaona kero maana minongono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.