Baada ya Kesi iliyomkabili yeye pamoja Meya Mstaafu Boniface Jackob kuahirishwa, hadi Tarehe 04/07/2024, Jeshi la Polisi limemkamata Bwana Malissa na kuanza Safari ya kuelekea Mkoani Kilimanjaro...
Rais Samia alipokelewa kikawaida tu wakati Mfalme wa Uarabuni ndege yake ilipoingia tu Anga la Korea ilipokelewa na ndege za kijeshi na kusindikizwa Hadi ilipotua
Maskini ana mapokezi yake na...
Wanaukumbi.
🇮🇱🇱🇧 Hapo jana Israel walisema wanaelekea kwenye uamuzi wa kuivamia Lebanon, leo Hezbollah wamerusha roketi kwenye kituo chao na kuua na kujeruhi makumi ya wanajeshi.
Wakati huo...
Watumishi wa Mungu wanagombania pesa na mali, mchungaji anagombania ardhi ya wananchi. Mwingira wa Efatha anatia aibu watumishi.
Hapo unakuta kuna wamama wanaamini Mwingira ndio mlezi wao wa...
Natafuta wazo la biashara ambalo lina almost Zero management.
Kama mjuavyo biashara au uwekezaji unahitaji management la sivyo hasara utakula mchana.
Katika fikiria fikiri nimeona
BIASHARA YA...
Nawasalimu Kwa USD dollars.
Tokea week iliyo pita nilikuwa nataka kusajili AU Ku register name of my company
Lakin Shida inakuja kwenye ufanisi wa system Yao ya (ORS).
Yan inazingua mno , kuna...
Kwa muda mrefu sana toka wakati wa Chacha Wangwe, Zitto n.k CHADEMA kimekuwa chama rigid na kisichokubali kabisa kukosolewa hasa kupitia wafuasi wake ambao ukijaribu kukosoa utashambuliwa sana...
Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha...
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar.
---...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.