Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huu hapa ni Mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Kinyeto, Jimbo la Singida Kaskazini, uliofanyika leo saa 3 asubuhi .Ikumbukwe kwamba Lissu amekwisha toa angalizo la kufuatiliwa na kikundi cha...
8 Reactions
16 Replies
185 Views
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi. Waziri Makamba...
1 Reactions
12 Replies
207 Views
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza...
2 Reactions
27 Replies
675 Views
Bwana Tundu Lissu alidokezwa na Gwajima awe makini kuwa kesho yake atapigwa risasi lakini alipuuza, sijui Gwajima alijuaje. Wataalam mtujuze.
2 Reactions
31 Replies
295 Views
Rate ya BoT kwenye kampuni za kukopesha ni 3.5% as a guidance issued by BoT. A simple study imefanyika kwenye mikopo ya Vodacom kupitia Mpesa and there is huge deviation which is believed to be...
3 Reactions
17 Replies
253 Views
Unakaribishwa Niko Mbeya
2 Reactions
10 Replies
139 Views
Hello! Huu ndio ukweli kuwa vijana wasomi wa Zanzibar hawana changamoto ya ukosefu wa ajira kama ilivyo vijana wa Tanganyika a.k.a bara. Vijana ombeni kibali cha ukaazi wa Zanzibar, wengine...
9 Reactions
38 Replies
694 Views
JF wasaalam, Kwa muda mrefu sasa najionea Kwa macho yangu wafanyabiashara wa Nchi jirani wakinunua nafaka vijijini. Karibia Kila Nchi inayotuzunguka wafanya biashara wa mazao wamekuwa wakiingia...
1 Reactions
15 Replies
80 Views
Ukitaka watoto wazuri wakike lazima ugharamie
10 Reactions
63 Replies
953 Views
Hapa nazungumzia wafanya biashara sio wale wezi wa pesa za wananchi, changamoto inakuja kutafuta mtaji labda umepata milion 5-10, either umekopa au umepewa, changamoto ya kwanza ni kutafuta frame...
37 Reactions
106 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,736
Posts
49,810,419
Back
Top Bottom