Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe. Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5 kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500 cc...
5 Reactions
46 Replies
987 Views
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la...
1 Reactions
19 Replies
361 Views
Wakuu hope salama, polenii na majukumu ya kulijenga taifa na familia kwa ujumla. Dhumuni la kuandika huu uzi ni namna now navyojiskia, ilikuwa mwaka 2018 baada ya kumaliza chuo nikiwa kitaa sina...
2 Reactions
8 Replies
566 Views
NIELEWE KWA MAKINI SANA. Mungu wa Israel Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
21 Reactions
184 Replies
4K Views
Kuhusu ajira tulisikia kuwa kibali kimeshatoka kwa Rais, sasa mbona bado wapo kimya wakati tunakaribia mwaka wa kiserikali na bajeti mpya kuanza kazi
0 Reactions
6 Replies
7 Views
Kylian Mbappe kapotea kujiunga na Madrid kwakuwa sioni nafasi yake ya kucheza na je ni kwa namna gani atavunja utawala wa Vini jr
3 Reactions
16 Replies
176 Views
Kwa nyakati tofauti kumekuwa na Viongozi walionukuliwa wakisema "Nchi hii imechezewa sana, Nchi iligeuzwa Shamba la Bibi lakini wahusika hawatajwi. Wapo waliowahi kutoa kauli za Vitisho ikiwemo...
1 Reactions
9 Replies
69 Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi-Sugu Moto Chini amekabidhi Madera 100 kwa Jumuiya ya Wanawake BAWACHA pamoja na Vitabu 50 Sugu ametoa taarifa ya makabidhiano Ukurasani X...
2 Reactions
4 Replies
56 Views
1. Kwasasa hakuna upinzani wa kweli, upinzani wa kweli uchangia ustawi na Maendeleo. Ninyi mnaonekana kuwa wapambanaji huru , mtakuwa na Chama imara kama Umkontho We Sizwe Cha Zuma 2. CHADEMA...
0 Reactions
3 Replies
31 Views
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi. Waziri Makamba...
4 Reactions
45 Replies
975 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,789
Posts
49,811,354
Back
Top Bottom