Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25 Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu...
14 Reactions
60 Replies
848 Views
Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi? === Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii...
4 Reactions
26 Replies
382 Views
Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe...
4 Reactions
20 Replies
307 Views
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kihistoria nchini Korea Mei 31 hadi Juni 6 mwaka huu kwa mwaliko wa Mheshimiwa Rais wa Korea, Yoon Suk Yeol, ziara ambayo ni hatua...
3 Reactions
24 Replies
560 Views
Position: Content Manager/Moderator (7) Location: Dar es Salaam, Tanzania Organization: JamiiForums About Us: JamiiForums is a Non-Governmental Organization in Dar es Salaam, Tanzania, dedicated...
11 Reactions
33 Replies
1K Views
Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu. Amesema aliyeshika chupa ya damu...
1 Reactions
17 Replies
200 Views
Sijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
42 Reactions
99 Replies
2K Views
Kwenye Kujifunza huwa Kuna Mental Model Moja Inaitwa… “CYCLE OF COMPETENCE” Yaani… “Eneo ambalo Wewe una MAARIFA ya Kujitosheleza” Mfano… Kama wewe ni MPISHI Unaweza kuwa Unajua… Diet...
2 Reactions
1 Replies
28 Views
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar. ---...
8 Reactions
136 Replies
3K Views
Huu hapa ni Mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Kinyeto, Jimbo la Singida Kaskazini, uliofanyika leo saa 3 asubuhi .Ikumbukwe kwamba Lissu amekwisha toa angalizo la kufuatiliwa na kikundi cha...
8 Reactions
19 Replies
264 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,748
Posts
49,810,619
Back
Top Bottom