Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

MBUNGE WANU H. AMEIR APOKEA CERTIFICATE OF RECOGNITION YA KUHAMASISHA UTUNZAJI BORA WA MAZINGIRA Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) na Mbunge...
0 Reactions
6 Replies
60 Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi-Sugu Moto Chini amekabidhi Madera 100 kwa Jumuiya ya Wanawake BAWACHA pamoja na Vitabu 50 Sugu ametoa taarifa ya makabidhiano Ukurasani X...
2 Reactions
2 Replies
56 Views
Mishangazi mingine inanyanyasa sana vibenteni, tena ukute shangazi la kanda fulani fulani za Tanzania. Kwanza wa bahili kutoa pesa na wakikupa ni kwa masimango na unaifanyia kazi kwelikweli...
10 Reactions
13 Replies
222 Views
Kwa nyakati tofauti kumekuwa na Viongozi walionukuliwa wakisema "Nchi hii imechezewa sana, Nchi iligeuzwa Shamba la Bibi lakini wahusika hawatajwi. Wapo waliowahi kutoa kauli za Vitisho ikiwemo...
0 Reactions
6 Replies
69 Views
Kuhusu ajira tulisikia kuwa kibali kimeshatoka kwa Rais, sasa mbona bado wapo kimya wakati tunakaribia mwaka wa kiserikali na bajeti mpya kuanza kazi
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari za jioni ndugu zangu, NATUMAINI MUWAZIMA WA AFYA. Msaada kidogo. Naombeni mwenye video ya Nako 2 nako HAWATUWEZI ft Enika. YouTube kwa sasa haipatikani,Mwenye nayo labda anayo hata kwa...
0 Reactions
6 Replies
91 Views
Habar wana jamii forum mm ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mm hata nifanye nini nianakosea...
1 Reactions
11 Replies
130 Views
Kylian Mbappe kapotea kujiunga na Madrid kwakuwa sioni nafasi yake ya kucheza na je ni kwa namna gani atavunja utawala wa Vini jr
2 Reactions
14 Replies
176 Views
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi. Waziri Makamba...
4 Reactions
44 Replies
975 Views
Wakuu hope salama, polenii na majukumu ya kulijenga taifa na familia kwa ujumla. Dhumuni la kuandika huu uzi ni namna now navyojiskia, ilikuwa mwaka 2018 baada ya kumaliza chuo nikiwa kitaa sina...
2 Reactions
6 Replies
566 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,789
Posts
49,811,354
Back
Top Bottom