Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi Zaidi sikiliza hii link...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia Christina Shiriri (43) kwa jina maarufu Manka, mfanyabiashara na mkazi wa Usagara wilaya ya Misungwi kwa kosa la kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa...
1 Reactions
8 Replies
43 Views
Kwa kutumia formula za matunda au majimoto tu unajitibu nguvu za kiume Bei ni sawa na bureee ni elfu kumi formula moja unafurahia tendo la ndoa na heshima inarud ukitibu umetibu sababu unatibu...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Tumepata Mkopo Nafuu wa 0.01% kutoka Korea Kusiki na ni wa Miaka 40 ila utaanza kuhesabiwa Kwetu mwaka 2026. Huu Uzi nawataka Great Thinkers tu wauchangie kwani kuna Kitu nimekiona mahala ambacho...
2 Reactions
4 Replies
5 Views
Madame President Samia Suluhu Hassan went to the Korea-Africa heads meeting,but is it really fair for African Presidents to be summoned like children by a single head of state?It should be noted...
2 Reactions
19 Replies
648 Views
Feisal Faila kuff kama wanavyomuita watangazaji wa Azam rafiki za lawena msonda mzee wa makongorosi ametaja kikosi chake Bora Cha msimu ulioisha kupitia gazeti pendwa la michezo mwanaspoti ambapo...
1 Reactions
8 Replies
62 Views
1940 May ulitokea mvutano mkubwa wa baraza la mawaziri nchini Uingereza baina ya pande mbili, upande mmoja ilikuwa wakiunga mkono kuongea amani na Germany na upande mmoja waliunga mkono kuendelea...
4 Reactions
5 Replies
172 Views
'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25 Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu...
12 Reactions
50 Replies
654 Views
Rate ya BoT kwenye kampuni za kukopesha ni 3.5% as a guidance issued by BoT. A simple study imefanyika kwenye mikopo ya Vodacom kupitia Mpesa and there is huge deviation which is believed to be...
0 Reactions
2 Replies
13 Views
Unakaribishwa Niko Mbeya
1 Reactions
6 Replies
115 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,722
Posts
49,809,972
Back
Top Bottom