Hello!
Huu ndio ukweli kuwa vijana wasomi wa Zanzibar hawana changamoto ya ukosefu wa ajira kama ilivyo vijana wa Tanganyika a.k.a bara.
Vijana ombeni kibali cha ukaazi wa Zanzibar, wengine...
Kweli Dar es Salaam imejaa vituko, vitimbi na watu wenye matatizo ya akili. Hivi inawezekanaje mwanamke uliyepevuka kiakili na utimamu wa mwili unaenda kupanda usafiri wa umma(daladala au...
'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25
Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu...
Binafsi Sina uelewa wa sheria kabisa, ila naomba hizi mahakama za mwanzo ziondolewe au zifutwe kabisa kwani huku ndio kimbilio letu sisi masikini na wajinga na sisi tusio na akili,
Kwa mfano...
Kuna mambo yanaendelea mpaka unashikwa na hasira na kutamani kupiga ukuta ngumi. Sasa Mh mpina kasema waziri kavunja sheria, Tenda zote za Kuagiza sukari nje hazitangazwi kinyume na sheria na...
Habari kwa wanaJamiiForums wote!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, siku ya jana baada ya kuifungua account yangu ya whatsApp niliendelea na mambo yangu ya kawaida (ku-chat na kuangalia...
Kesi namba 11805/2024 inayomkabili aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob na Godlisten Malisa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es saalam limeahirishwa hadi tarehe 04 Julai 2024...
Marekani imekuwa ikifuatilia mwenendo wa meli za kijeshi ambazo zimeonekan zikielekea upande wao kwenye visiwa vya Carribean.
Haijajulikana kiuhakika meli hizo za kawaida za kijeshi na zile za...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba, kuna watu...
Wanaukumbi.
🇮🇱🇱🇧 Hapo jana Israel walisema wanaelekea kwenye uamuzi wa kuivamia Lebanon, leo Hezbollah wamerusha roketi kwenye kituo chao na kuua na kujeruhi makumi ya wanajeshi.
Wakati huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.