Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
5 Reactions
19 Replies
64 Views
Wakuu kuna taasisi moja ya umma nimeenda kupewa huduma nikapewa control namba nilipie ila nilichoambulia kila wakala anasema hii haiwezekani kulipa. Nikarudi kwa taasisi husika nikawapa cash...
2 Reactions
6 Replies
88 Views
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyoko jijini Arusha imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo kutoka kwenye sheria zake ndani ya muda wa miezi sita kuanzia sasa. Uamuzi huo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu nimechoka toka jana sijalala... Nahisi kuchanganyikiwa... Nahisi maluwe luwe . Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu... Nimechoka sasa nimechoka. Kama mbwai iwe mbwai tuu...
6 Reactions
71 Replies
350 Views
Friends and Our Enemies... Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani...
7 Reactions
84 Replies
1K Views
Wasalaam, Jf. Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha Siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya Siasa akianzia kukisimika chama huko kipya mkoani kwake Singida...
2 Reactions
15 Replies
249 Views
Imeelezwa Marais wa Rwanda, Zimbabwe na Kenya wako Korea Kuungana na Rais Samia kwenye Mkutano wa kihistoria wa Korea Kusini na Africa Museven amewakilishwa na Naibu wake Credit: Naipamei Kaikai X
1 Reactions
7 Replies
441 Views
Niliandika siku si nyingi hapo nyuma ni kwa nini ujenzi wa barabara hauanzi na maeneo hatarishi yanayoua wananchi kama Simike, Mlima Iwambi na Mlima Nyoka? Badala yake wajenzi wapo busy na maeneo...
2 Reactions
5 Replies
134 Views
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja. Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
23 Reactions
223 Replies
6K Views
Ni kwa kipindi kirefu tumeona serekali ikipambana sana kuzuia matumizi ya bangi na miraa (mirungi) lakini kwa tafiti zangu binafsi kwa wale watumiaji sijawahi kuona mtumiaji wa bangi amekosa bangi...
0 Reactions
11 Replies
98 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,627
Posts
49,807,317
Back
Top Bottom