Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndoto, matarajio na matamanio ya waTanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi CCM.. Hii ni kutokana na mipango na kimkakati yake katika kuwaongoza...
3 Reactions
51 Replies
202 Views
Wakuu mambo vipi nahitaji google play console mwenye nayo tuwasiliane pesa ipo nichek kwa namba 0718474600
0 Reactions
6 Replies
121 Views
Hello 👋 Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
15 Reactions
158 Replies
7K Views
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba...
9 Reactions
46 Replies
707 Views
Club ya Real Madrid ya Hispania imetangaza rasmi kuwa imefikia makubaliano ya kumsajili Kylian Mbappe kwa mkataba wa miaka mitano. Mbappe anajiunga na Real Madrid baada ya kucheza PSG kwa miaka...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Hata Mbunge Jon Ndugai Spika wa zamani nadhani anashangaa namna Demokrasia ndani ya Chadema imekomaa kiasi cha kuvumiliana kwenye mawazo na hoja binafsi. Jambo ambalo kwake yeye binafsi...
8 Reactions
35 Replies
406 Views
Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
26 Reactions
1K Replies
36K Views
Dear All, I am looking for a job as a personal assistant. If you need a personal assistant, please feel free to inbox me here at JF. I am trustworthy, respectful, and personally motivated by the...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
👉HUKUZALIWA 👉KUJA 👉KUOKOLEWA 👉NA MTU Hakuna mtu yeyote anaye zaliwa(ku-exsist on this Earth) hapa Duniani ili aje kuokolewa ama kusaidiwa na mtu yeyote, Upo hapa Duniani ama tuite upo Katika huu...
2 Reactions
1 Replies
50 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,439
Posts
49,802,251
Back
Top Bottom