Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ebana wanajamvi inakuwaje? Kiungo hatari mkabaji na mshambuliaji wa timu ya mpira iliyotwaa la Liga na UEFA CL Real Madrid, raia wa ufaransa mwenye asili ya Angola Eduardo Camavinga huenda...
1 Reactions
13 Replies
173 Views
Kama Taifa kubwa linatunga sheria Kali kiasi hiki ,inakuaje hapa Tanzania ambapo Watoto wanafanyiwa vitendo vya ajabu na hakuna adhabu yeyote ya maana? Kuna Mbunge alipendekeza adhabu ya...
0 Reactions
7 Replies
66 Views
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
10 Reactions
270 Replies
2K Views
Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90. kwahiyo tuseme Feisal katika...
3 Reactions
10 Replies
243 Views
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
11 Reactions
188 Replies
2K Views
  • Suggestion
UTANGULIZI Kwa hakika, tasnia ya sanaa na burudani inakabiliwa na mabadiliko makubwa katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Mabadiliko haya yatachochewa na maendeleo katika teknolojia...
0 Reactions
1 Replies
22 Views
Nawasalimu wote. Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU. Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
5 Reactions
124 Replies
2K Views
Pia akampa mfano, "unaona pale kwenye banda la mbuzi, si unaona kuna madume matatu ila majike 38?" Vivyo hivyo na kwa wanyama wengine kama simba, dume moja huwa na kundi la majike, na huo ndo...
2 Reactions
2 Replies
51 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,352
Posts
49,799,420
Back
Top Bottom