Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo. Mchungaji...
2 Reactions
57 Replies
836 Views
Inasikitisha sana, toka bunge lianze hiki kikao cha 15 kila siku ni watoto wa shule private ndio wanatambulishwa kama wageni wa Bunge. Leo katambulishwa mjukuu wa mbunge Mulamula. Serikali ina...
1 Reactions
9 Replies
138 Views
Kweli nimeamini morogoro ni heart of Tanzania wala sio uongo, Morogoro ni njema kwa kila kitu. Huu mkoa umebarikiwa aisee kiukweli kutoka moyoni nakupenda Morogoro japo mie si mtu wa Morogoro...
11 Reactions
27 Replies
630 Views
Mimi ninatafuta kijana wa kazi ya kuuza na kusambaza bidhaa Kwa wateja.kazi ni ya dukani,nafasi moja (1) eneo la kazi ni Arusha Tanzania Sifa zake 1. jinsia yoyote ilimradi awe tayari kukubali...
1 Reactions
6 Replies
59 Views
Kondomu zilizotumika katika Roma ya Kale zilitengenezwa kwa kitani na utumbo wa wanyama (kondoo na mbuzi) au kibofu. Inawezekana kwamba walitumia tishu za misuli kutoka kwa wapiganaji waliokufa...
3 Reactions
17 Replies
154 Views
Ndoto, matarajio na matamanio ya waTanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi CCM.. Hii ni kutokana na mipango na kimkakati yake katika kuwaongoza...
2 Reactions
18 Replies
47 Views
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar. ---...
3 Reactions
14 Replies
139 Views
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali. Anyone who is...
8 Reactions
126 Replies
1K Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
6 Reactions
1K Replies
33K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,394
Posts
49,800,621
Back
Top Bottom