Kondomu zilizotumika katika Roma ya Kale zilitengenezwa kwa kitani na utumbo wa wanyama (kondoo na mbuzi) au kibofu. Inawezekana kwamba walitumia tishu za misuli kutoka kwa wapiganaji waliokufa...
Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi...
Chato ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Rombo na Bomag'ombe.
Kwa nini Makamanda wenzangu mnaichukia Chato?
Hi ni moja ya great and tremendous development tuache chuki bana. CCM wanapiga kazi
👇...
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar.
---...
ndoto, matarajio na matamanio ya waTanzania wengi kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi CCM..
hii ni kutokana na mipango na kimkakati yake katika kuwaongoza, kuwatumikia na kuwaletea...
Kufuatia kuwepo kwa tukio la mtoto wakiume (3) kulawitiwa Jijini Arusha, mama mzazi wa mtendewa amedai kuwa kutokana na hali ya mtoto kuwa mbaya ameanza kumfunga mtoto huyo mikono kwa kutumia...
Ndugu zangu Watanzania,
Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa
kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
Tuongee serious, suala la kupata mwanamke wa kuwanae kwenye mahusiano kwa upande wangu limekua gumu sana hasa baada ya kuvunja uhusiano na mtu.
Sio kwamba domo zege sijui kutongoza ninauwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.