Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mada imejieleza wakuu. Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa. Kwa sasa anaonekana amesha pata...
2 Reactions
5 Replies
6 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Habari, Naitwa device frabius mkazi wa Dar es Salaam Mikocheni natafuta pikipiki mpya iliyosimama kwa mkataba Kwa siku 10,000/= ikiwa boxer itapendeza zaidi, nahitaji kwasababu ya Bolt. 0617146950
2 Reactions
3 Replies
99 Views
Empowering Africa’s tomorrow, together…one story at a time. With over 100 years of rich history and strongly positioned as a local bank with regional and international expertise, a career with our...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho. Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
11 Reactions
150 Replies
4K Views
Namshukuru Mungu leo nimetimiza miaka 23. Long may I reign.
12 Reactions
116 Replies
3K Views
Nchi ya Djibouti imeamua kutumia njia tofauti baada ya kuona wanazidiwa na malaria. Imekua ni nchi ya pili baada ya bukina faso kufanya kitu kama hiko...
0 Reactions
1 Replies
6 Views
Ni kwa kipindi kirefu tumeona serekali ikipambana sana kuzuia matumizi ya bangi na miraa (mirungi) lakini kwa tafiti zangu binafsi kwa wale watumiaji sijawahi kuona mtumiaji wa bangi amekosa bangi...
0 Reactions
3 Replies
24 Views
Habari za weekend ndugu zangu, Kuna muda kwenye Maisha unahitaji mtu sahihi wa Ku share naye upendo na mapenzi yako, mtu ambaye atakudekea, utamdekeza, utampenda na kumuheshimu, ujisikie furaha...
6 Reactions
24 Replies
389 Views
Wanawake wengi wakimaliza ujana, wataanza kuomba wapate mume, wakipata, watatupilia mbali mara moja ahadi zote walizotoa kwa Mungu baada ya kupata mtu asiye na hatia. Wanawake wengi wanaokula...
3 Reactions
26 Replies
416 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,556
Posts
49,805,525
Back
Top Bottom