Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hata Mbunge Jon Ndugai Spika wa zamani nadhani anashangaa namna Demokrasia ndani ya Chadema imekomaa kiasi cha kuvumiliana kwenye mawazo na hoja binafsi. Jambo ambalo kwake yeye binafsi...
5 Reactions
23 Replies
233 Views
It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again Wakuu ama kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa...
9 Reactions
38 Replies
841 Views
Wakuu huu ni uchunguzi huru. Sitaki maswali ya picha sijui sampo saizi. Hawa saivi tunaenda nao ngomba droo na pengine hata wanatuzidi pakubwa wanaume[emoji15] Haiwezekani lazma kuna shida...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Swali maalum kwa makamanda. Wanachadema naomba muongozo wa katiba yenu, je vipindi vya uongozi hasa mwenyekiti ni miaka mitano, kumi, ishirini, thelathini au ni milele hadi kifo? Tuelewesheni...
0 Reactions
3 Replies
39 Views
Kwanza kabisa niombe Jamiiforums wasiunganishe uzi huu na Nyuzi nyingine zinazoelezea kuhusu sakata la Mtoto kulawitiwa Arusha na Kesi yake kufika kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Sote ni mashahidi wa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
6 Reactions
1K Replies
33K Views
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja. Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
18 Reactions
153 Replies
3K Views
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe : ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21 nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha nifanyaje sasa ili niweze kwenda...
9 Reactions
67 Replies
946 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
18 Reactions
178 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,420
Posts
49,801,893
Back
Top Bottom