Mada imejieleza wakuu.
Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa.
Kwa sasa anaonekana amesha pata...
Tofauti na miaka mingine yote, kwa sasa watumishi wa Umma wameamka kutoka usingizini.
Wengi wao wameshagundua kuwa, mtetezi wao mkubwa si Wabunge wala serikali bali ni Viongozi wa vyama vya...
Habari,
Naitwa device frabius mkazi wa Dar es Salaam Mikocheni natafuta pikipiki mpya iliyosimama kwa mkataba
Kwa siku 10,000/= ikiwa boxer itapendeza zaidi, nahitaji kwasababu ya Bolt.
0617146950
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya...
Habari za Harakati za kiuchumi.
Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo.
Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira...
Unahitaji huduma ya kuhamishwa kisasa, kufungiwa vitu kwa ustadi kama vyombo, nguo, na hata vifaa vya umeme kama dish au antenna la dstv au lolote ulionalo...karibu sana...tunapatikana kinyerezi...
Nishajiuliza sana Sisi ni Dampo au ni nini
Kuna hiki kinywaji kinaitwa Baltika nishazunguka sehem nyingi hapa Dar kila napokikuta lazim kiwe kimebakiza siku chache Ku expire yaani vinauzwa mwezi...
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.