Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
6 Reactions
100 Replies
768 Views
Msanii Roma ameachia kionjo cha wimbo wake mpya na moja ya mstari wa huo wimbo ni huu mstari anaosema "Kwani aliyemteka Roma, si ndio aliyevamia Mawingu''. Wajuzi wa mambo amemaanisha nini...
1 Reactions
11 Replies
192 Views
Aziz Ki amesema"Nawashukuru kwa sababu ni jambo dogo sana ninaloweza kufanya kuwashukuru nyinyi ambao mnanisaidia kila siku, SIO KWAHERI NIKO HAPA MSIJALIโ€
3 Reactions
9 Replies
145 Views
Huyu mrembo wangu ananihudunia kila siku kwa tendo, na ananiachia nijipigie magoli idadi ninayotaka mpaka pale nitakapo choka mimi mwenyewe; nimejikuta ndani ya wiki mbili nimekuwa na kitambi...
7 Reactions
21 Replies
137 Views
Kwanza picha linaanza Ile style yake ya mbuzi kagoma lahaula nusu nimwage ubongo wakuu nikajikuta nalia huku nauma meno wigi la nywele lake aisee huyu binti ni mnoma Sana aisee na kwenye kukatika...
3 Reactions
17 Replies
390 Views
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara. Amewashinda wafuatao : โ—‰ Reliants...
13 Reactions
31 Replies
1K Views
๐‰๐š๐ฆ๐š๐ง๐ข ๐ญ๐ฎ๐จ๐ง๐ž๐š๐ง๐ž ๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฆ๐š๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ฆ๐š๐ ๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ž๐ญ๐ข....๐ฒ๐š๐ง๐ข ๐ฉ๐จ๐ฌ๐ญ ๐ฒ๐š ๐ฆ๐ฐ๐š๐ค๐š ๐ฃ๐š๐ง๐š October 19,2023 ๐Œ๐ฉ๐š๐ค๐š ๐ฅ๐ž๐จ ๐ก๐š๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ก๐š๐ญ๐š ๐ฉ๐จ๐ฌ๐ญ ๐ฆ๐จ๐ฃ๐š ๐ค๐ฎ๐ง๐ข๐Ÿ๐š๐ซ๐ข๐ฃ๐ข ๐ง๐š ๐ก๐ข๐ข ๐ฌ๐š๐Ÿ๐š๐ซ๐ข ๐ฒ๐š๐ง๐ ๐ฎ. ๐€๐ข๐ฌ๐ž๐ž ๐ฆ๐š๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ง๐ข ๐ฆ๐š๐ ๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ค๐ข๐ฎ๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข,๐ฐ๐š๐ฅ๐ž ๐ฐ๐จ๐ญ๐ž...
0 Reactions
1 Replies
13 Views
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake. Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza...
0 Reactions
23 Replies
363 Views
Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
17 Reactions
124 Replies
4K Views
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi...
10 Reactions
70 Replies
938 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,527
Posts
49,804,626
Back
Top Bottom