Awali ya yote, naomba nieleze historia yangu kwa ufupi. Nia na madhumuni niweze kujenga picha ya jumla katika lengo zima la uzi huu.
Nilizaliwa katika mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, Baba yangu...
AKILI KUBWA:
1. Usiwabeze wenye akili ndogo bali wasifie ili kuwafurahisha.
2. Wasaidie watu wengine ila hakikisha unaneemeka na misaada hiyo.
3. Fanya mambo makubwa kwa lengo la kuinufaisha...
Akijibu hoja ya Luhaga Mpina kuhusu uagizaji na uingizaji wa Sukari nchini, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe hapo Jana bungeni alisema, "Sukari ni chakula cha watu masikini, ndo maana Wabunge...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Habari za weekend ndugu zangu,
Kuna muda kwenye Maisha unahitaji mtu sahihi wa Ku share naye upendo na mapenzi yako, mtu ambaye atakudekea, utamdekeza, utampenda na kumuheshimu, ujisikie furaha...
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu
Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi...
Pia akampa mfano, "unaona pale kwenye banda la mbuzi, si unaona kuna madume matatu ila majike 38?"
Vivyo hivyo na kwa wanyama wengine kama simba, dume moja huwa na kundi la majike, na huo ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.