Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hawayuu wasomi wenzangu, Leo katika harakati zangu za hapa na pale za kutafuta mkate wa siku wakati natoka kufundisha subtopic ya quantum tunneling pale UD. Nikadandia daladala moja ya kwenda...
2 Reactions
17 Replies
146 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, Nikipata namba ya WhatsApp itapendeza zaidi
0 Reactions
2 Replies
4 Views
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
5 Reactions
47 Replies
252 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Innocent Chengula (23) kwenda jela miaka saba, baada ya kupatikana na makosa sita likiwamo la kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa...
1 Reactions
15 Replies
95 Views
Habari za mchana marafiki zangu wa Faida njoo UFUNGUKE Ka Kero kanakokupa WAKATI MGUMU katika harakati zako za kila siku Mimi kwakweli Nina KINYAA SANA mwepesi mno kutapika sasa kitu kinachonipa...
4 Reactions
60 Replies
797 Views
Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (Kahama/Lugera/Mnazi mmoja). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa...
1 Reactions
10 Replies
56 Views
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
48 Reactions
172 Replies
5K Views
Nachukua nafasi hii kuipongeza Serikali ya Watu wa Zanzibar kupata Mkopo kutoka Korea bila kuwepo
1 Reactions
4 Replies
32 Views
Kama Uenyekiti tu wa Chama chenye mbunge Mmoja hataki kuachia je Urais wa kutawala raia million 60 angeachia kweli? Kwa Mifumo yake ilivyo Chadema wanapaswa kuishia Bungeni kama walivyoshauriwa...
1 Reactions
3 Replies
18 Views
Hata Mbunge Jon Ndugai Spika wa zamani nadhani anashangaa namna Demokrasia ndani ya Chadema imekomaa kiasi cha kuvumiliana kwenye mawazo na hoja binafsi. Jambo ambalo kwake yeye binafsi...
9 Reactions
42 Replies
510 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,456
Posts
49,802,669
Back
Top Bottom