Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90. kwahiyo tuseme Feisal katika...
3 Reactions
11 Replies
275 Views
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja. Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
7 Reactions
66 Replies
1K Views
Basi linauzwa Nissan Cb 31 Namba B Engine Nissan CB31 Haina turbo Gearbox_Gia sita Siti 46 Bei 20,000,000/= Halina tatizo Gari ipo Tanga mjini Call,sms,whatsap 0759399805
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Chato ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Rombo na Bomag'ombe. Kwa nini Makamanda wenzangu mnaichukia Chato? Hi ni moja ya great and tremendous development tuache chuki bana. CCM wanapiga kazi 👇...
1 Reactions
1 Replies
135 Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Kiungo hatari mkabaji na mshambuliaji wa timu ya mpira iliyotwaa la Liga na UEFA CL Real Madrid, raia wa ufaransa mwenye asili ya Angola Eduardo Camavinga huenda...
1 Reactions
13 Replies
183 Views
Kama Taifa kubwa linatunga sheria Kali kiasi hiki ,inakuaje hapa Tanzania ambapo Watoto wanafanyiwa vitendo vya ajabu na hakuna adhabu yeyote ya maana? Kuna Mbunge alipendekeza adhabu ya...
0 Reactions
7 Replies
97 Views
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
10 Reactions
270 Replies
2K Views
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
11 Reactions
188 Replies
2K Views
  • Suggestion
UTANGULIZI Kwa hakika, tasnia ya sanaa na burudani inakabiliwa na mabadiliko makubwa katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Mabadiliko haya yatachochewa na maendeleo katika teknolojia...
0 Reactions
1 Replies
24 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,352
Posts
49,799,420
Back
Top Bottom