Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
Majiria ya saa saba na dakika ishirini na moja hivi (7:21) leo tarehe 6 June 2024 limepita tetemeko dogo la ardhi hapa Moshi vijijijji maeneo ya Kilema (haijajulikana maeneo mengine). Mtikiso huo...
Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi...
Ushawahi sikia watu wanaitwa "resentful" ? Hawa ni watu ambao kuna vitu hawana, wengine wanavyo, wao wanaamini wangepaswa kua navyo, sasa matokeo yake wanakua na chuki na husda.
Ni lazima ukubali...
Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi...
Salamu wakuu.
Mji huu Dar es salaam ni Mji mzuri sana katika mishe za hapa na pale. Mji huu haumkatai mtu kama ukiweka starehe mbele.
Pisi za Mji huu hazina upendo kwa apeche alolo. Pisi za Mji...
Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
Ndoto, matarajio na matamanio ya waTanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi CCM..
Hii ni kutokana na mipango na kimkakati yake katika kuwaongoza...
Hata Mbunge Jon Ndugai Spika wa zamani nadhani anashangaa namna Demokrasia ndani ya Chadema imekomaa kiasi cha kuvumiliana kwenye mawazo na hoja binafsi. Jambo ambalo kwake yeye binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.