Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo.
Mchungaji...
Inasikitisha sana, toka bunge lianze hiki kikao cha 15 kila siku ni watoto wa shule private ndio wanatambulishwa kama wageni wa Bunge. Leo katambulishwa mjukuu wa mbunge Mulamula.
Serikali ina...
Kweli nimeamini morogoro ni heart of Tanzania wala sio uongo, Morogoro ni njema kwa kila kitu. Huu mkoa umebarikiwa aisee kiukweli kutoka moyoni nakupenda Morogoro japo mie si mtu wa Morogoro...
Mimi ninatafuta kijana wa kazi ya kuuza na kusambaza bidhaa Kwa wateja.kazi ni ya dukani,nafasi moja (1)
eneo la kazi ni Arusha Tanzania
Sifa zake
1. jinsia yoyote ilimradi awe tayari kukubali...
Kondomu zilizotumika katika Roma ya Kale zilitengenezwa kwa kitani na utumbo wa wanyama (kondoo na mbuzi) au kibofu. Inawezekana kwamba walitumia tishu za misuli kutoka kwa wapiganaji waliokufa...
Ndoto, matarajio na matamanio ya waTanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi CCM..
Hii ni kutokana na mipango na kimkakati yake katika kuwaongoza...
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar.
---...
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali.
Anyone who is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.