Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Unaitwa madrak ni mmea wenye maajabu sana kwanza unafanana na sura ya mtu halafu ukiwa unaukata unalia kama mtoto unatoa sauti kabisa huu mti una maajabu mengi na una sumu inayoweza kukua...
1 Reactions
7 Replies
209 Views
Korea Kusini imesaini mikataba 50 ya biashara,mikopo na sekta za Rasilimali na Nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Rais wa Korea amesema anaendesha sera ya ushirikiano wenye faida kwa.pande Mbili...
1 Reactions
15 Replies
131 Views
ni faida au hasara gani mtu mke au mtu mume anaeweza kuzipata endapo atakurupuka kufunga ndoa kwa maana ya kuoa au kuolewa?🐒
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Shambulizi linalodaiwa kufanywa na Israel karibu na mji wa Aleppo nchini Syria mapema jana Jumatatu, lilimuua jenerali wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Saeed Abiyar, chombo cha...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako 1:Iphone kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa...
12 Reactions
39 Replies
855 Views
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
11 Reactions
209 Replies
2K Views
Hapa hatujapigwa kweli wakuu?
6 Reactions
38 Replies
1K Views
Aziz Ki amesema"Nawashukuru kwa sababu ni jambo dogo sana ninaloweza kufanya kuwashukuru nyinyi ambao mnanisaidia kila siku, SIO KWAHERI NIKO HAPA MSIJALI”
3 Reactions
10 Replies
229 Views
Huyu mrembo wangu ananihudunia kila siku kwa tendo, na ananiachia nijipigie magoli idadi ninayotaka mpaka pale nitakapo choka mimi mwenyewe; nimejikuta ndani ya wiki mbili nimekuwa na kitambi...
11 Reactions
53 Replies
413 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,536
Posts
49,804,883
Back
Top Bottom