Msanii Roma ameachia kionjo cha wimbo wake mpya na moja ya mstari wa huo wimbo ni huu mstari anaosema "Kwani aliyemteka Roma, si ndio aliyevamia Mawingu''.
Wajuzi wa mambo amemaanisha nini...
Poleni na majukumu mbalimbali ndugu zangu,
Bila kuwapotezea muda,napenda kutoa ushuhuda juu ya umuhimu wa maji ya kunywa kama tiba katika kutibu tatizo la Vidonda vya tumbo na Bawasiri...
Naomba nijue ni chuo hiki au nini nimeingia kwenye website yao ila sijaridhika sana yaani nimeshindwa kukifahamu kiundani majukumu yake na kipo chini ya wizara gani? Kama ni chuo kinatoa course...
Mchungaji Peter Msigwa akizungumza Jumatano kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara Tundu Lissu uliofanyika Jumatano Juni 05, 2024 katika Kijiji Ughandi -Singida Kaskazini...
Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (Kahama/Lugera/Mnazi mmoja). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa...
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu.
Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
Mjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto.
Yani...
Huyu mrembo wangu ananihudunia kila siku kwa tendo, na ananiachia nijipigie magoli idadi ninayotaka mpaka pale nitakapo choka mimi mwenyewe; nimejikuta ndani ya wiki mbili nimekuwa na kitambi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.