Habari ninaomba msaada wa kisheria ili haki iweze kutendeka , nimetishiwa kudhalilishwa na Mtoa huduma wa Pesa X inayomilikiwa na singularity Company kama inavyooneka hapo chini
Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
Wakuu ninashida na Godoro, kama kuna mtu atakuwa na godoro la ziada kwake ambalo alitumii naomba anisaidie.
Hata like chakavu litafaa hivyohivyo kwa muda huu mhitaji anahitaji apate msingi wa...
Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza kujenga Bandari ya Uvuvi ya Bagamoyo Kwa kushirikiana na Korea Kusini ambayo itagharimu Dola Milioni 156.5 ambazo ni sawa na Shilingi Bilioni 400 za...
Habari Wakuu. Ninaomba wataalamu wa afya mnisaidie uelewa. Katika normal check up yangu ya damu (full blood picture) white blood cells zimesoma 3.5.
Nidadavue kidogo
●granulocytes ni 46.4%...
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa Sarafu za sh 500,200,100 na 50 pasipo kupatikana mwafaka wa usumbufu huu
Ukweli ni kuwa sarafu hizi zinaibiwa na Wachina kupitia Mashine za kamari zilizotapakaa kila...
1. Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini
2. Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue...
Na Bollen Ngetti
0683 226539
B-pepe bollenngeti@gmail.com
SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba...
Baada ya mwanamke kujua/ kufahamu mume wake anachepuka na kidada fulani jirani,mwanamke anaachika huku akidai hawezi kuvumilia mwanaume amletee magonjwa ya zinaa na UKIMWI
Akiwa huko anakutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.