Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

James Mbowe amesema Demokrasia ya Chadema ni kubwa sana ndio sababu mchungaji Msigwa ameweza kuwaita Waandishi wa Habari na kuwashutumu viongozi wenzake bila kuwa na ushahidi wowote Mbowe amesema...
1 Reactions
3 Replies
128 Views
Ulijiskiaje? Una ushauri gani kwa wanaosoma chuo sasa hivi, juu ya supplementary. Darasani kwenye lectures, seminars, presentations, group discussions, etc.; hujawahi kukosa hata siku moja...
0 Reactions
2 Replies
53 Views
pata hii tv (full box) ufurahie maisha na family, its amazing, wafanye familia na kids wafurahi zaidi ukiwa na hii. 650k only contact now : 0697224996
0 Reactions
6 Replies
7 Views
Kama nimekosea jukwaa samahanini sana, jioni ya leo nimekutana na mhalifu wangu aliyenitia hasara za hapa na pale. Sasa kwenye kumwadhibu akawa ananichora tu, amerelax, halii, hacheki, haguni...
6 Reactions
61 Replies
2K Views
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
25 Reactions
79 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na...
6 Reactions
82 Replies
3K Views
Mwaka 2010, nilienda na rafiki yangu nyumbani kwao Usukumani. Nilishangaa nilipoamkiwa "shikamoo" na dada yake ambaye alionekana wazi anaweza akawa mkubwa kwangu. Ndivyo alivyoniamkia na ndivyo...
1 Reactions
9 Replies
197 Views
Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoeo rahisi kwa wanyama wengine. Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua...
8 Reactions
40 Replies
595 Views
Faida za kwenda advanced???
5 Reactions
33 Replies
421 Views
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
59 Reactions
240 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,245
Posts
49,796,211
Back
Top Bottom